April 13, 2018



Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopaswa kufanyika leo saa 7 mchana.

Yanga ilitangaza jana kuwa leo itaitisha kikao na Wanahabari ili kuzungumzia masuala mbambali yanayoihusu klabu hiyo.

Taarifa ya kuahirishwa kwa mkutano huo imeeleza kuwa ni sababu zisizozuilika, hivyo watapanga tarehe nyingine ya kikao hicho.





1 COMMENTS:

  1. Mvua kubwa yaweza kuwa sababu. Maji yatakuwa tayari yamezingira vyurani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic