May 6, 2018



Klabu ya Chelsea inaikaribisha Liverpool leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Chelsea watakuwa wanaialika Liverpool baada ya kushindwa kuutetea ubingwa wa ligi ikiwa ni baada tu ya kuutwaa msimu uliopita wa 2016/17.

Timu hizi zinakutana zikiwa zimetofautiana kwa pointi 6 ambapo Liverpoo ina alama 72 na Chelsea ikiwa na 66.

Mechi hii itaanza majira ya saa 12 na dakika 30 za jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

1 COMMENTS:

  1. kila la heri...............leo kuanzia saa kumi ni soka tu hadi mecho ya Yaga saa 4 usiku

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic