Real Madrid imeitwanga Liverpool kwa jumla ya mabao 3-1 na kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya 13.
Pamoja na kubeba ubingwa huo mara nyingi zaidi, Madrid imefanikiwa kuweka rekodi ya timu ya kwanza kulibeba kombe hilo moja kwa moja baada ya leo kulitwa kwa mara ya tatu mfululizo.
CHEKI MAPICHAAAAZ
Add caption |
Naoombea yanga yetu ifanye kama ilivofanya RealMadrid katika mapambano yetu ya kinyanganyiro kombe la afrika kwasababu haya kwa Mungu si makubwa na inavotskiwa ni timu zote za nyumbani bila ya kubali uhasama wa jadi tuwe kitu kimoja, mkono mmoja bega kwa bega
ReplyDeleteHaahaaa ndoto za alinacha hizo
Delete