HII NDIYO FAMILIA YA NAHODHA WA MADRID, SERGIO RAMOS, NAYO ILIKUWA UWANJANI Mama, mke na mtoto wa beki Sergio Ramos ambaye leo amekumbana na moto wa mashabiki mitandaoni wakimlaumu kumuumiza mshambuliaji Mo Salah wa Liverpool wakati wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyoisha kwa Liverpool kulala kwa mabao 3-1.
0 COMMENTS:
Post a Comment