June 14, 2018


Na George Mganga


Afisa Habari wa zamani katika klabu ya Yanga, Jerry Muro, amefunguka na kueleza kuwa suala la uongozi wa timu hiyo kumuondoa aliyekuwa kocha wake, Mholanzi, Hans van der Plujim kimizengwe ndiyo limeifikisha Yanga hapo ilipo.

Muro ameeleza kuwa dhambi na zinawatafuna viongozi wa Yanga waliopo madarakani hivi sasa akisema ndiyo wamesababisha timu kuyumba.

Mbali na hayo, Muro amesema yupo tayari kuchukiwa na wadau wa Yanga akiona ni vema auseme ukweli kwa kuibua mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakifanyika ndani ya klabu.

Hatu hiyo imekuja kufuatia Yanga kuyumba kiuchumi na baadhi ya wachezaji wakihusishwa kuhama kuelekea mahala pengine kutokana na klabu kukumbukwa na hali ngumu kifedha.


7 COMMENTS:

  1. WEWE ULIYELETA HII TAARIFA NA HUYO MURO , WOTE WASHENZI....SHOBO TU NA HABARI ZA YANGA NDO MNACHOJUA

    ReplyDelete
  2. ,,,,,,,ikiwemo na ya kukuondoa ww au hiyo haimo?

    ReplyDelete
  3. Jerry anahangaika tu akitafuta ulaji! Amewahi kuwa na mapenzi gani na Yanga? Hakuna kocha anayedumu milele na club, Hans alishafanya kazi yake na alihitajika mtu mwingine wa kuitoa Yanga hapo. Leo hii yeye amefungiwa maisha kujihusisha na mambo ya mpira, ana laana gani? alienda hadi kwenye siasa wakampiga chini. Njaa zinamsumbua, mwambie Simba kumejaa Manara ameshacover maana inaonekana sasahivi anajipendekeza ili MO ampe kazi.

    ReplyDelete
  4. Jerry muda wote wa nyuma ulikuwa wapi? Mbona hukuyasema hayo ya kuonewa Hans kipindi kile? Kwanini uyaseme leo?

    ReplyDelete
  5. Anatafuta umaarufu alioupoteza atuache na yanga yetu kama laana hata yeye anazo tena za kushiba

    ReplyDelete
  6. Angeenda kuwataja hao viongozi kwenye mkutano wa jumapili, alikuwa wapi?

    ReplyDelete
  7. jeli muro hajakosea kusema rana kweli inawasumbua

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic