June 25, 2018



Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Kpah Sherman ameendelea kung’ara nchini Liberia.

Sherman aria wa Liberia alikuwa mshambuliaji wa Yanga aliyeshindwa kuonyesha cheche zake licha ya kufanya vema katika mechi moja tu ya watani wa jade Simba dhidi ya Yanga ya mchezo wa Nani Mtani Jembe.

Baada ya kushindwa kabisa Yanga, Sherman alikwenda Afrika Kusini na kujiunga na klabu ya Black Aces ambayo hats hivyo hakufanya vizuri sana hadi alipohamia MISC-MIFA ya nchini Malaysia.



Katika mechi iliyopita, Sherman alifanikiwa kufunga mabao mawili wakati wakipoteza kwa mabao 3-2.

Hiyo ikamfanya kufikisha mabao 12 katika mechi 15 za ligi alizocheza, hivyo kumfanya kuendelea kuwa mmoja wa washambulizi hatari katika eneo livi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic