June 25, 2018




Na George Mganga


Inaelezwa kuwa nyota na beki wa zamani wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Pascal Wawa ameshatua jijini Dar es Salaam.

Mchezaji huyo amewasili nchini jana kwa ajili ya kuja kukamilisha mazungumzo ya mwisho na klabu ya Simba kwa ajili ya kusaini mkataba.

Beki huyo ambaye alikuwa anaichezea Azam FC, aliondoka na kumtikia Sudan kukipiga katika klabu ya Al Merrikh inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo.

Wawa ameonekana akiwa mazoezini wakati kikosi cha Simba kikijinoa kwenye Uwanja wa White Sand, Mbezi Beach, kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kombe la KAGAME inayotarajiwa kuanza wiki hii jijini Dar es Salaam.

Ujio wa Wawa katika klabu ya wekundu hao wa Msimbazi ni mojawapo ya pendekezo la benchi la ufundi ambali hapo awali lilitoa ripoti ya kuhitaji kuongezeka kwa beki mmoja wa kimataifa.


12 COMMENTS:

  1. Yanga wamezizuga timu nyingi wakitumia magazeti kutaja majina ya wachezaji ambazo sio wale ambao kocha huyu mpya anawataka....lakini timu zinafikiri zinaikomoa Yanga kumbe ilikuwa ni zuga. Wawa, dilunga, nchimbi, kaheza, kiyombo (ukiondoa Salamba) hao hawakuwa kwenye listi ya kocha ila walikuwa kwenye listi ya magazeti ya mtaani.....Azam, Singida, Mtibwa, na Simba zote zimeingia chaka 😁

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ujinga ww hamna jipya uliona wapi mchezaji mzuri anatakiwa na timu moja tatizo leo mkwanja no

      Delete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. Kwa pesa iliyonayo Simba Sio wa kufuata mabeki na wachezaji wa caliber ya Wawa ambaye hata Sudan hakuwa na mvuto....Simba wanatakiwa kusajili wachezaji kutokea TP Mazembe, Tunisia, Morocco au Misri ili ichukue ubingwa wa afrika lakini kwa mtindo huu sidhani kama wako serious akina kaheza, salamba na mo Rashid kweli tutafikia malengo na maagizo ya mkuu wa nchi??? Hili sio povu ndugu yangu ni ukweli hata kama unataka kukataa....unakimbizana kusajili makapi!

    ReplyDelete
  5. Wawa umri umeenda, ni sawa na Mwanjali tu. Sasa unamtema vipi Mwanjali na kumsajili Wawa?

    ReplyDelete
  6. Ugonjwa ulioingia Simba ni kama ule waliokuwa nao Yanga,kipindi cha nyuma ilikuwa Simba wakitangaza kumtaka mchezaji fulani hata kama ni danganya toto Yanga walikuwa wanakurupuka na kumsainisha hata kama alikuwa hana uwezo na ndicho kinachotokea sasa hivi.
    Naamini hata leo Yanga wakitangaza kumsaini Saleh Jembe basi Simba watakurupuka na kumsajili

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa YANGA cjui mtamsajili mchezaji gani maana waxhezaji wazuri wote wanaisha aokoni na nyie mnaishia kusema tyuu kuwa mlikuwa mnadanganya, hakuna beki kama PASCAL WAWA hapa tz hata ukitafuta kwa tochi haumpati

      Delete
  7. Hao unawaita wachezaji wazuri ambao kwa mujibu wa wewe kuwa sokoni wameisha ni uongo kuna wachezaji wengi tu wamebaki Mr. Nurdin Chona, Salum Kihimbwa, Idi Kipagwile, Hassan kabunda, Peter mapunda, Shaaban Chilunda, ambao ni damu changa

    ReplyDelete
  8. Boniface maganga, issa Rashid baba ubaya, nk

    ReplyDelete
  9. Boniface maganga, issa Rashid baba ubaya, nk

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic