June 9, 2018


Ule mchezo wa kuchangia elimu umemalizika kwa Team Samatta kushinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Team Ali Kiba.

Kikosi cha Ali Kiba kilitangulia kufunga mabao mawili kabla ya Team Samatta kuanza kusawazisha na mwisho kuongeza.

Picha za action namna mechi hiyo ilivyofana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic