BASATA WATOA TOZO MPYA KWA WASANII
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limefanya mabadiliko kwa baadhi ya huduma zitolewazo na baraza hilo kuanzia Julai 1, 2018 kama yalivyoainishwa kwenye kanuni mpya za baraza hilo zilizotoka mwezi wa pili mwaka huu. (February, 2018).
0 COMMENTS:
Post a Comment