July 5, 2018



Kocha mkuu wa Biashara United Mara,  Hitimana Thierry  raia wa Rwanda akitambulishwa hivi sasa katika ofisi za timu hiyo.


Biashara Mara ambayo imepanda daraja hadi Ligi Kuu Bara, imeendelea kujiimarisha kwa asilimia kubwa kuhakikisha inapambana.

Hivi karibuni, Biashara Mara ilifanya usajili wa wachezaji kadhaa kuhakikisha inakuwa katika kiwango bora.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic