July 12, 2018

FEI TOTO AKIWA NA MKUU WA USAJILI WA YANGA, HUSSEIN NYIKA.

Wakati Singida United imetangaza kuinasa saini ya  kiungo  Feisal Salum Abdalah “Fei Toto”, Yanga nayo imemsainisha na itamtangaza hivi punde.

Taarifa za uhakika ni kwaba Fei Toto yuko makao makuu ya Yanga katika mitaa ya Twiga na Jangwani kwa sasa na anasubiri kumwaga wino.

Singida United kupitia Mkurugenzi wao, Festo Sanga, leo mchana walimtangaza Fei Toto kuwa amejiunga nao wakionyesha picha wakati anasaini na kukabidhiwa jezi za Singida United.

Baadaye wakasambaza video zikimuonyesha akieleza alivyojiunga na Singida United lakini hivi punde atatambulishwa Yanga.

6 COMMENTS:

  1. Yanga nanyinyi mmepora mchezaji wa Singida?

    ReplyDelete
  2. Na Buswita mwaka jana alisaini Simba kwanza na kisha Yanga pia.Buswita akadai shetani alimpitia.Huyo Toto itakuwa dawa ya Yanga imemuingia.

    ReplyDelete
  3. Lack of agents to support them that's why they even fail to play outside CECAFA

    ReplyDelete
  4. Jaffary Mohammed toka Majimaji na sio Jaffary kibaya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic