July 12, 2018




Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza kumvua Uenyekiti wa Bodi ya Ligi, Clement Sanga.

Sanga amevulikuwa nafasi hiyo aliyoshinda baada ya kuonekana anakosa sifa.

Hii inatokana na klabu ya Yanga kuthibitisha kwamba bado inamtambua Yusuf Manji kuwa bado ni mwenyekiti wa klabu hiyo.

Manji alijiuzulu miezi 18 iliyopita lakini mwezi uliopita wanachama wakiwa kwenye mkutano walikataa kuidhinisha barua yake ya kujiuzulu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic