MKALI wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki alikuwa miongoni mwa wakali wa Hip Hop waliokinukisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live baada ya kupanda na kuimba nyimbo zake zote kali.
Mshabiki walionesha kupagawa baada ya kuingia na kuimba Wimbo wa Zimbambwe ambapo kila mmoja alikuwa akiimba naye. Ngoma nyingine zilizotikisa ni pamoja na Mathematics na Tanzania.
PICHA: RICHARD BUKOS | GPL
0 COMMENTS:
Post a Comment