Lechantre ache kuongea sana huko uliko. Kocha msaidizi Djuma ndiye aliyekubeba kwenye ushindi wa Simba ulipokuwepo. Kukusaidia kujua wachezaji wa kuwapanga kikosini kama ilitokea labda kama wewe mwenyewe unajivuruga na kujichanganya, unakumbuka kwenye mchezo wa VPL ulipotaka kumtoa kichuya uwanjani ambapo alikuwa akicheza vizuri mpaka wachezaji wenyewe na mashabiki walipopinga kwa kutoa ishara na kupiga kelele ndipo Kichuya aliachwa aendelee na mchezo.
Sasa kama viongozi walimpangia kikosi cha kucheza na ndicho kimechukua ubingwa basi viongozi wanastahili kupongezwa maana kuingilia kwao kati kumeleta tija. Lakini nachojua mimi hiyo sio kweli. Kiongozi Simba hawamuingilii kazi Kocha.
viongozi wa semba wana tabia mbaya sana wanajifanya wao wanajua kuliko makocha halafu timu ikifanya vibaya mzigo unamwangukia kocha tuache kuwatetea hii si mara ya kwanza makocha kulalamika kuingiliwa majukumu yao
Lechantre ache kuongea sana huko uliko. Kocha msaidizi Djuma ndiye aliyekubeba kwenye ushindi wa Simba ulipokuwepo. Kukusaidia kujua wachezaji wa kuwapanga kikosini kama ilitokea labda kama wewe mwenyewe unajivuruga na kujichanganya, unakumbuka kwenye mchezo wa VPL ulipotaka kumtoa kichuya uwanjani ambapo alikuwa akicheza vizuri mpaka wachezaji wenyewe na mashabiki walipopinga kwa kutoa ishara na kupiga kelele ndipo Kichuya aliachwa aendelee na mchezo.
ReplyDeleteSasa kama viongozi walimpangia kikosi cha kucheza na ndicho kimechukua ubingwa basi viongozi wanastahili kupongezwa maana kuingilia kwao kati kumeleta tija. Lakini nachojua mimi hiyo sio kweli. Kiongozi Simba hawamuingilii kazi Kocha.
Deleteviongozi wa semba wana tabia mbaya sana wanajifanya wao wanajua kuliko makocha halafu timu ikifanya vibaya mzigo unamwangukia kocha tuache kuwatetea hii si mara ya kwanza makocha kulalamika kuingiliwa majukumu yao
ReplyDelete