Taasisi ya Mo Dewji kwa kushirikiana na klabu ya Simba wametoa msaada kwa watoto walemavu.
Msaada huo unahusisha viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Wachezaji kadhaa wa Simba waliongozana na maofisa wa Mo Dewji Foundation ambao kwa pamoja waliungana kwa ajili ya kutoa misaada hiyo.
Vizuri sana mo dewji
ReplyDeleteVizuri sana mo dewji
ReplyDeleteVizr sana simba yang + no dewj
ReplyDeleteSorry typing error
Delete