August 24, 2018

11 COMMENTS:

  1. Hakuna Simba atakaesema kocha atimuliwe kwa mechi moja tena wameshinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa timu zetu sio tatizo anafukuzwa kocha anaongoza ligi na ajapoteza ata mechi moja tu hili ndio soka la bongo linaongozwa kwa shinikizo sio kwa uweledi.

      Delete
  2. tunahtaji muunganiko mzuri wa timu kama hawezi kuunganisha timu aondoke

    ReplyDelete
  3. Afukuzwe tu masoud djouma akabidhiwe timu sioni umuhimu wake Mara mia masoud haya mazungu in Burr kabisa

    ReplyDelete
  4. Simba wawe na uvumilivu kwanza kocha sio aliyefanya usajili hivyo anahitaji muda kuwasoma na kuwaelewa wachezaji

    ReplyDelete
  5. Hivi kama mambo yanakuwa hivi wakati simba ilishinda hivi ingekuwaje kama wangekuwa wamefungwa au kutoa Sare? Wao walikuwa Uturuki wenzao nao walikuwa Zanzibar. Ujue tofauti yao ilikuwa ni mazingira na viwanja tu ila mazoezi ni yale yale na watu ni wale wale. Simba tulieni, au mlikuwa mmeota mpapaso mliompapasa Masau Bwire mwaka jana? Huu mwaka mtahangaika sana siyo rahisi labda mtumie pesa zenu kununua marefarii wetu wenye njaa.

    ReplyDelete
  6. Kafukuzwa omog na timu ilikua inaongoza ligi itakua huyu timu ipo nafasi ya 6

    ReplyDelete
  7. Kafukuzwa omog na timu ilikua inaongoza ligi itakua huyu timu ipo nafasi ya 6

    ReplyDelete
  8. Tatizo sio kocha kama ambavyo viongozi wa Simba wanataka kuwaaminisha wapenzi na washabiki wao. Tatizo ni umri wa wachezaji wao. Kwa umri ule mchezaji hawezi kucheza dakika 90 kwa nguvu ile ile. Usajili ulifanywa kwa mihemko bila kuzingatia vigezo vya kimpira.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic