August 28, 2018


Kikosi cha Manchester United kimeambulia kipigo cha mbwa koko cha mabao 3-0 kutoka kwa Tottenham Hotspurs kikiwa kwenye Uwanja wake wa nyumbani, Old Trafford.

Tottenham wamejipatia mabao yao kupitia kwa Harry Kane aliyefunga mnamo dakika ya 50 na Lucas Moura aliyeingia kambani mara mbili katika dakika za 52 na 54.

Tazama picha zaidi ya matukio ya mchezo huo kupitia LINK yenye maandishi haya mekundu Picha zaidi


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic