August 22, 2018


Mwili wa Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Marehemu Monica Magufuli umezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita leo Jumanne, Agosti 21, 2018.

Viongozi mbalimbali wa serikali, siasa na dini wakiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Marais wastaafu, Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mkewe, Bi. Mary Majaliwa, wabunge, Mama Salma Kikwete, RC Paul Makonda na wengine wameungana na familia ya Magufuli katika kumsindikiza Monica kwenye nyumba yake ya milele.

Bi. Monica alifariki dunia Jumamosi iliyopita, Hospitali ya Bugando alikokuwa amelazwa akipatiwa matuibabu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic