September 10, 2018


Na George Mganga

Meneja wa Simba SC, Robert Richard amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka huku adhabu hiyo ikiambatana na faini ya shilingi za Kitanzania, milioni 4. 

Adhabu hiyo imetolewa kutokana na kosa la kuihujumu timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.



Taarifa zaidi utaipata kupitia blog hii, endelea kuwa nasi...

6 COMMENTS:

  1. Uonevu wa hali ya juu. Simba kama timu ni lazima mäktar kuburuzwa nä TFF isiyofuata kanuni. Ikibidi kateni rufaa. Muungeni mkono kwani hajafanya kosa.

    ReplyDelete
  2. Amehujumu my foot.Wacha kufuata mkumbo chura mzee.

    ReplyDelete
  3. Baada ya kosa la kijinga walilofanya TFF Sasa la kuwazuia wachezaji wa Simba kujiunga na timu ya Taifa sasa wanajaribu kuwatupia lawama Simba. Wachezaji wa Simba walizuiliwa kujiunga na timu ya Taifa na TFF wakati wachezaji kadhaa bado hawajajiunga na kambi sasa nani alieihujumu timu ya Taifa?. Baada ya Malinzi na viongozi wenzake kudakwa na mikono ya serikali kwa dhambi alizokuwa akifanya TFF tulidhani watakaofuatia watanyooka lakini TFF hii ni pumba kabisa. Kuendeleza majungu na visasi visivyokuwa na maana sidhani kama ni jambo lenye afya kwa maendeleo ya mpira wetu. Kwa hivyo kwa tuhuma hizo za kinafiki za TFF kwa Simba na wao wameamua kuihujumu Simba? TFF Kuendeleza bifu za kipuuzi na vilabu sio jambo jema kwa timu ya Taifa hasa wakati huu tukihitaji kuunganisha nguvu zetu kuhakikisha timu yetu ya Taifa inafanya vizuri katika mechi zake zilizosalia.

    ReplyDelete
  4. Sasa hujuma gani aliyoifanya huyo meneja wa Simba wakati TFF waliwatimua wachezaji wa Simba kama wezi kuwa si lolote si chochote bila hata harua ya onyo. Mpira una taratibu zake ndio maana kuna onyo,kadi ya njano, na mambo ya kizidi kadi nyekundu na sasa wameongezea video chunguzi kuepusha maamuzi ya kukurupuka.

    ReplyDelete
  5. Kiukweli mimi ni shabiki wa simba Damu... Ila kwa maendeleo ya soka la Tanzania kwa ujumla... Kanuni zilizowekwa ni lazma zifuatwe.. Kama simba wamekosea lazima wawajibishwe ili kulinda heshima na nidham kwa shirikisho. Meneja wetu wa simba hana hudi kuitumikia hiyo adhabu aliyopewa na TFF.. Wala simtetei.. Sema kocha wa stars pamoja na TFF walikosea kuwaadhibu wachezaji kwa maana kosa halikua lao. Ianapaswa wawaomba msamaha kwa hilo. Walikurupuka sana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic