September 28, 2018


Mashabiki wamekuwa na maswali mengi ni kitu gani anapitia Lady Jaydee kwa sasa kwenye maisha yake baada ya kuandika ujumbe akieleza jinsi alivyotaka kukatisha uhai wake ghafla. Kupitia mtandao wa twitter ameandika;’

“Jana nilihisi kunywa sumu ila kabla sijafanya nikajisuta na kujikumbusha nilipotoka na kujiuliza nitakuwa mjinga kiasi gani 😔😔 Nikajisikitikia tu kisha nikaacha. Na leo bado nipo kigumu gumu ila bado nipo.”


2 COMMENTS:

  1. Kafa Nyerere nchi inaendelea itakuwa msanii? Acheni kutafuta kiki za kijinga

    ReplyDelete
  2. Kwani wanaokufa wanajitangaza? Au ukitaka kufa unawauliza watu? Wewe ondoka tu unafikiri kitu gani kitapungua ukiondoka?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic