September 4, 2018



Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameungana na wenzake katika mazoezi ya timu hiyo.

Samatta anayechezea KRC Genk ameanza mazoezi na wenzake akiungana pia na Thomas Ulimwengu ambaye anacheza Al Hilal pamoja na wengine wanaocheza nje ya nchi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic