September 27, 2018


Jumapili kutakuwa na mechi kali ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Tayari kumekuwa na tambo nyingi kutoka kwa mashabiki wa timu zote huku kila mmoja akiamini kuwa timu yake ina uwezo wa kupata ushindi.

Leo kipindi cha Spoti Hausi tutakuwa na mashabiki wa Tawi la Simba la Ubungo Terminal na wale wa Yanga Mbezi Beach, huku kila mmoja akiamini kuwa timu yake inaweza kuibuka na ushindi.


5 COMMENTS:

  1. TIMU YANGA KALI SANA

    ReplyDelete
  2. Mfalume wa polini simba lazima alalue kiumbe Taifa By Vanydizo

    ReplyDelete
  3. Simba ndo dawa yenu! Tukutane Taifa j pili

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic