BREAKING: IGP SIRRO AFUNGUKA 'MO DEWJI' KUPATIKANA
KUFUATIA kupatikana kwa Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji 'MO' ambaye amepatikana usiku wa kuamkia Leo katika viwanja vya Gymkhana, IGP Simon Sirro amefika katika viwanja hivyo na kuzungumza na waandishi wa habari.
IGP Sirro amesema waliomteka MO walikuwa wanataka pesa kutoka kwake na walipomuomba akawapa simu waongee na Baba yake mzazi lakini watekaji hao walikataa.
0 COMMENTS:
Post a Comment