HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOPOKELEWA KABLA YA KUIVAA MAJIMAJI MJINI SONGEA, LEO MABINGWA WA SOKA TANZANIA, YANGA WAMETUA SALAMA MJINI SONGEA, JANA. MASHABIKI KIBAO WA YANGA WALIJITOKEZA KUWAPA HESHIMA YA MAPOKEZI. CHEKI MWENYEWE.
0 COMMENTS:
Post a Comment