Baada ya Yanga kuilaza Mbao 2-0 uwanja wa taifa, Deusi kaseke kafichua nia yao ya kutaka kuurudisha ubingwa wa ligi kuu katika mitta ya jangwani
Kaseke ameimbia Global Tv Online kuwa wao wanapambana kwa nafasi yao bila kuangalia nani kafanya nini, na nia yao ni kubeba taji la ligi msimu huu.
Iko obsessed na Simba.Angalia usipate BP.Sio healthy obssesion yako kuna timu nyingi za kuripoti sio Simba tu.
ReplyDeletehivi kila kitu anachosema mchezaji wa yanga kinawahusu simba hao waongeaji maneno yao yangekuwa na nafasi kama wangefanya vizuri dhidi ya simba lakini wote walinywea siku ya mechi
ReplyDelete