Ligi kuu Tanzania Bara itaendelea Leo kwa kushuhudia timu 10 zikishuka Uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu, ratiba yake ni kama ifuatavyo:-
JKT Tanzania VS Prisons, Maj.Gen.Isamuhyo, Dar es Salaam, Saa 08:00 Mchana.
Alliance FC VS Coastal Union, Nyamagana, Mwanza , Saa 10:00 Jioni.
Singida United VS Azam FC, Namfua, Singida, Saa 10:00 Jioni.
Mtibwa Sugar VS Kagera Sugar, Manungu, Morogoro, Saa 10:00 Jioni.
Ruvu Shooting Vs Simba, Taifa, Dar es Salaam, Saa 1:00 Usiku.
0 COMMENTS:
Post a Comment