October 15, 2018



Kiungo wa zamani wa Arsenal, Per Mertesacker amestaafu soka huku akimwaga chozi.

Hata hivyo, chozi lake lilikuwa na mvuto zaidi ya nafasi yake uwanjani kuchukuliwa na baba yake mzazi.




Baba yake mwenye umri wa miaka 67 aliingia kuchukua nafasi wakati Mertesacker akiingia kuchukua nafasi yake.

Mashabiki 40,000 waliokuwa kwenye Uwanja wa HDI Arena walishuhudia jumla ya mabao 19 yakifungwa katika siku hiyo ya kumuaga Mertesacker ambaye pia alifunga moja.


2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic