October 30, 2018



Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Hans Pluijm amesema kuwa wachezaji wake wanatakiwa kuwa makini licha ya kazi nzuri ambayo wanaifanya hawapaswi kubweteka kwa kuwa ushindani ni mkubwa.

Azam ambao wamecheza michezo 11 na kufanikiwa kutopoteza mchezo hata mmoja baada ya kujikusanyia pointi 27 watashuka tena Uwanjani Novemba 2 kucheza dhdi ya Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba.

"Wachezaji wangu wanastahili sifa hasa kutokana na juhudi ambazo wanzaionyesha kwa kuwa wapo tayari kujiua wao kwa kila mmoja hili ndilo la muhimu kwenye mpira ila inabidi wasibweteke waongeze juhudi zaidi," alisema.

Mchezo wake uliopita alifanikiwa kuwafunga mabosi zake wa zamani timu ya Singida United aliowatumikia msimu uliopita kwa kufanikiwa kuchukua pointi tatu uwanja wa Namfua.

3 COMMENTS:

  1. mwaandishi huyu kiboko!!!!!!!! Ameanza na "Kochs mkuu wa Yanga>>>>" cheki kazi kwanza

    ReplyDelete
  2. Yani hapa akija mgeni atajua yanga jina lingine ni Azam

    ReplyDelete
  3. Mapenzi yamezidi, Nazi inaharibika, amejificha kwamba so mpenzi was timu hiyo, lakini maelezo ya kazi anazifanya utagundua yeye shabiki was Jangwani ambapo so vibaya Bali afanye kazi kwa uhakisia asiingize ushabiki wake!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic