Azam ambao wamecheza michezo 11 na kufanikiwa kutopoteza mchezo hata mmoja baada ya kujikusanyia pointi 27 watashuka tena Uwanjani Novemba 2 kucheza dhdi ya Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba.
"Wachezaji wangu wanastahili sifa hasa kutokana na juhudi ambazo wanzaionyesha kwa kuwa wapo tayari kujiua wao kwa kila mmoja hili ndilo la muhimu kwenye mpira ila inabidi wasibweteke waongeze juhudi zaidi," alisema.
Mchezo wake uliopita alifanikiwa kuwafunga mabosi zake wa zamani timu ya Singida United aliowatumikia msimu uliopita kwa kufanikiwa kuchukua pointi tatu uwanja wa Namfua.








mwaandishi huyu kiboko!!!!!!!! Ameanza na "Kochs mkuu wa Yanga>>>>" cheki kazi kwanza
ReplyDeleteYani hapa akija mgeni atajua yanga jina lingine ni Azam
ReplyDeleteMapenzi yamezidi, Nazi inaharibika, amejificha kwamba so mpenzi was timu hiyo, lakini maelezo ya kazi anazifanya utagundua yeye shabiki was Jangwani ambapo so vibaya Bali afanye kazi kwa uhakisia asiingize ushabiki wake!!!
ReplyDelete