November 14, 2018


Na George Mganga

Kufuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Maadili chini ya Mwenyekiti wake Hamid Mbwezeleni kutangaza kumfungia Mwenyekiti wa Matawi Yanga, Bakili Makele kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitatu, Makele ameibuka na kusema haitambui adhabu hiyo.

Makele amefungiwa kwa muda wa miaka mitatu pamoja na faini ya shilingi za kitanzania milioni moja kutoka TFF, kutokana na kupinga suala la uchaguzi Yanga kufanyika kama ilivyoagizwa na serikali kupitia Baraza la Michezo Tanzania pamoja na TFF.

Kutokana na adhabu hiyo, Makele amesema hatambui adhabu hiyo na akieleza kuendelea kuitumikia Yanga kama kawaida.

Aidha, Makele ameeleza kuwa TFF imekuwa ifanya namna ya kuwadhoofisha Yanga huku akisema kuwa watani zao wa jadi wana Mohammed Dewji wakati wao wanakatazwa kuwa na Yusuf Manji.

Ameenda mbali zaidi akieleza labda wampige hata risasi lakini suala la yeye kuacha kuitumikia Yanga halitowezekana kwani bado anatambua hajafungiwa na yeyote yule.

Ukiachana na Makele, TFF imemfungia Boaz Kupilika kwa makosa yaleyale kwa muda wa miaka mitatu, sambamba na faini ya milioni mbili pia.

4 COMMENTS:

  1. Jinga huyo, simba Wana Mohamed Dewji kwenye kitu gani? Mo ni mwekezaji, sio kiongozi. Badala ya kumshawishi manji awekeze mnamlazimisha awe Mwenyekiti.

    ReplyDelete
  2. Hujielewi wewe mo sio kiongozi wa simba na wala usimuhusishe fanyeni yenu acheni ujinga tatizo hamujielewi,ndiomana mnaitwa mbu mbu mbu fc.na laiti kama ungekua umeelimika usingekua na msimamo Wa kipumbavu kiasi hicho fuateni taratibu,kumbuka alishajiuzulu na WAZIRI alimfuata kwa miguu yake kumbembeleza arudi tena zaidi ya mara mbili je unajua alichomjibu?leo hii serikali imeingila kati suala la kusimamia uchaguzi mnasema mbona simba hawajaingiliwa,kwani simba walisua sua kama nyinyi??achukue fomu agombee hakuna atakaempinga manji,kinachoonekana YANGA inatumia janja janja kuwapoza au kuwatuliza wanachama na washabiki wa yanga wasigome kutokana na sintofahamu inayoendelea na kinachofuata ni serikali kuchafuliwa kwamba ndio inayohusika kumbe ukweli ni kwamba MANJI hajaandika barua wala nini, na hata kama ameandika sio kwa ridhaa yake ameshinikizwa na baadhi ya viongozi kwa lengo lakuwapoza mashabiki na wachezaji,ila kaeni mkijua MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI.mwisho Wa ubaya ni aibu,msitumie janja janja kuwapoza watu ukweli siku zote hujitenga pembeni.

    ReplyDelete
  3. Hujielewi wewe mo sio kiongozi wa simba na wala usimuhusishe fanyeni yenu acheni ujinga tatizo hamujielewi,ndiomana mnaitwa mbu mbu mbu fc.na laiti kama ungekua umeelimika usingekua na msimamo Wa kipumbavu kiasi hicho fuateni taratibu,kumbuka alishajiuzulu na WAZIRI alimfuata kwa miguu yake kumbembeleza arudi tena zaidi ya mara mbili je unajua alichomjibu?leo hii serikali imeingila kati suala la kusimamia uchaguzi mnasema mbona simba hawajaingiliwa,kwani simba walisua sua kama nyinyi??achukue fomu agombee hakuna atakaempinga manji,kinachoonekana YANGA inatumia janja janja kuwapoza au kuwatuliza wanachama na washabiki wa yanga wasigome kutokana na sintofahamu inayoendelea na kinachofuata ni serikali kuchafuliwa kwamba ndio inayohusika kumbe ukweli ni kwamba MANJI hajaandika barua wala nini, na hata kama ameandika sio kwa ridhaa yake ameshinikizwa na baadhi ya viongozi kwa lengo lakuwapoza mashabiki na wachezaji,ila kaeni mkijua MWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI.mwisho Wa ubaya ni aibu,msitumie janja janja kuwapoza watu ukweli siku zote hujitenga pembeni.

    ReplyDelete
  4. Yüreğir Doğalgaz
    Doğalgaz tesisat ve mühendislik firması
    Ptt Mahallesi Kozan Caddesi Yıldızhan Apt. No: 559/B Yüreğir/Adana
    Telefon Numaramız +0322 3280828
    Doğalgaz Firmaları

    Bugüne kadar uygulamış olduğu büyük projelerde başarılara imza atan firmamız, konut ve büyük işletmelere kurduğu ısıtma ve tesisat sistemlerinde bölgesinin en önemli firmalarından biri olmanın haklı gururunu yaşamaktadır. Yüreğir Dogalgaz , MERKEZİ ISITMA SİSTEMLERİ, BİREYSEL SİSTEM (KOMBİ), KLİMA, PROJE VE GAZ AÇMA, DOĞALGAZ TESİSATI, YANGIN TESİSATI, YALITIM, ISI POMPASI, GÜNEŞ ENERJİSİ TESİSATI, ATIK SU TESİSATI, YAĞMUR SUYU TESİSATI, TEMİZ SU TESİSATI ve KALORİFER TESİSATI alanlarında hizmet vermektedir. Yüreğir Doğal gaz olarak savunduğumuz değerlerden ödün vermeden sektörümüzdeki başarımızı daha ileri taşıyacağımızı taahhüt ederiz. Firmamız Dünya da ısıtma sektörünün önde gelen VIESSMANN, BOSCH ve IMMERGAS ve bir çok firmalarının ana bayiliğini yapmaktadır.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic