November 30, 2018




Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili, Zana Coulibaly raia wa Ivory Coast ameanza mazoezi rasmi na kikosi.


Beki wa kulia Mbukinabe aliyewahi kukipiga Asec Mimosa ya Ivory Coast leo amekamilisha dili la kusajiliwa na Mabingwa wa nchi Simba SC na mara moja ameungana na wenzake kuanza mazoezi.


Mazoezi hayo yamefanyika kwenye Uwanja wa Bocco Veterani jijini Dar es Salaam.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic