November 30, 2018



Hatimaye beki wa kati wa Simba, Juuko Murshid ameanza mazoezi na kikosi chake.

Mazoezi ya Simba yamefanyika leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.


Juuko amerejea na kujiunga na Simba baada ya kubakia kwao Kampala, Uganda ambako ilielezwa alibaki kwa ajili ya matatizo ya kimataifa.

Beki huyo alibaki Uganda baada ya kwenda kuichezea timu ya taifa ya nchi hiyo.


2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic