November 11, 2018


Imeelezwa kuwa hii ndiyo nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20.

Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.


Tutaendelea kukujuza zaidi juu ya taarifa za nyumba hiyo kwa kusubiria ripoti za Polisi. Endelea kuwa nasi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic