November 6, 2018


Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' kinaondoka alfajiri ya leo kuelekea Afrika Kusini kwa kambi maalum kujiandaa na mchezo wa kufuzu kuelekea AFCON 2019 dhidi ya Lesotho.

Kwa mujibu wa Meneja wa timu, Danny Msangi, amesema Stars itakuwa Afrika Kusini kwa kambi ya siku kabla ya kuelekea Lesotho.

Meneja huyo ameeleza Stars ikiwa nchini humo itaungana na wachezaji wengine wanaocheza soka nje ya Tanznia.

Wachezaji wote ambao wameitwa hapa nchini tayari wapo pamoja hivi sasa tayari kwa safari hiyo ya alfajiri leo.

Stars itakuwa na kibarua hicho Novemba 8 ambapo mchezo huo utakuwa ni wa kundi L.

1 COMMENTS:

  1. Hahahah... nimelipenda swali lako, naona kuna shida sana ya uandishi. Vichwa vya habari haviendani na habari yenyewe!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic