November 6, 2018


Klabu ya KMC imeamua kuachana na kiungo wake Abdulhalim Humud kwa madai ya utovu wa nidhamu na tabia waliyoiita mbaya, kuwatongoza wake na wachumba wa wachezaji wenzake.

Humud naye ameandika barua ya kuachana na KMC ambao wamesema watamdai gharama zao kadhaa.

Humud alisajiliwa na KMC akitoka Coastal Union ya Tanga baada ya mkataba wake na timu hiyo kumalizika.

Humud vilevile aliwahi kuichezea Simba miaka kadhaa nyuma kabla ya kutimkia kuelekea kwa wagosi wa kaya, Coastal.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic