November 11, 2018


Kocha wa timu ya Alliance FC, Mbwana Makata, amepotea na kuelekea pasikojulikana huku sababu zikiwa hazijawekwa wazi.

Kocha huyo ambaye timu yake imekuwa haifanyi vizuri, ameondoka ndani ya kambi ya timu hiyo na ikiwa haijaelewa wapi alipo.

SalehJembe imejitahidi kwa nguvu zote kumsaka kupitia simu zake za mkononi lakini amekuwa hapokei hivyo inatuwia ugumu kujua shida imekuwa ni nini.

Lakini taarifa za chini ya kapeti zinasema kuna mgongani baina yake na mabosi wake ikiwemo namna mwenendo wa Alliance namna ulivyo.

Endelea kufuatia mtandao wetu kwa taarifa zaidi juu ya kuondoka kwa Makata ndani ya Alliance.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic