November 28, 2018





Simba imeamua kutengeneza uhakika upande wa kulia katika ulinzi.

Beki wa kulia kutoka Ivory Coast Zana Coulibaly anatarajia kuwasili jijini Dar Es Salaam leo tayari kwa kujiunga na Simba Sc. .
.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa klabu hiyo @simbasctanzania umesema beki huyo ni mbadala wa Shomari Kapombe ambaye anaonekana kupata majeraha mara kwa mara. .
.
Beki huyo mwenye umri wa miaka 26 alikuwa akikipiga katika klabu ya Asec Mimosas ya nchini kwao Ivory Coast.

3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic