November 28, 2018



Klabu ya Singida United imefanikiwa kunasa saini ya straika Dauda B ambaye anauraia pacha yaani LIBERIA na NORWAY.

Streka huyo ni moja ya mkakati wa wanaalizeti hao kujiimarisha kwa kipindi hiki kidogo ili kurejesha makali yao na hasa wanapoelekea kwenye michuano ya Sportpesa Cup mapema January 2019.

Singida United inayoendelea na kampeni yake ya MAKE SINGIDA UNITED GREAT AGAIN inategemea kushusha vifaaa vingine ndani ya dirisha hili dogo ili kuimarisha nafasi mbalimbali ambazo wachezaji wake wameondoka klabuni hapo kwa kuuzwa, madai na wengine kukosa namba ya kucheza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic