November 29, 2018

3 COMMENTS:

  1. Wakati mwengine subira ni kitendo cha kusubiri kilicho bora zaidi. Nimeanza msamiati huu maarufu kwa waswahili baada ya kumtizama kwa makini na mshangao beki forward wa Simba Mghana Nicholas Gayani jinsi alivyojaa adabu ya mpira kwenye maono tofauti katika mechi na Waswatini kama vile ukokotaji wake wa mpira, jinsi anavyojipanga katika kuwakabili wapinzani,pasi zake,nakadhalika.kweli chungu lakini hata fowadi ya mbabane kama walisusa kupitishia mashambizi yao upande wa Gayani. Kama Simba bado wana mpango wa kuachana na Gayani kwa hali yeyote ile iwe kwa kumpeleka kwa mkopo au kwa njia nyengine yeyote ile basi simba watakuwa wamepoteza mchezaji mmoja muhimu na kujitia hasara kwanza kiumri bado ni unamruhusu halafu nina hakika kabisa Gayan anaonekana kuyazoea mazingira ya Bongo na nadhani hata akirejeshwa kwenye majukumu yake ya kazi yalioyomleta Simba nafasi ya ushambuliaji basi anaweza kuwashangaza wengi hivi sasa.Usisahau yakwamba Gayani ni mtupiaji nyavuni mahiri na ndicho kilichowavutia Simba hadi kumleta Tanzania lakini kilichomfika Gayani Tanzania hadi kushindwa kufanya kilichomleta hata yeye mwenyewe alishindwa kufahamu nini kimempata mpaka akili zake kufika kuharibika hadi kuamini nguvu za giza kuwa ndicho kitu kilichokuwa kimefunika kipaji chake. Na kama si hekima za Masoud Djuma aliekuwa kocha msaidizi wa Simba kumpa darasa la kuondoa fikra potofu za kishirikina basi Gayani pengine angelikwisha ondoka Simba zamani sana. Ila Gayani anaonekana kucheza vizuri zaidi mechi za kimataifa pengine hata mechi za ndani kwa hivyo kiuhalisia bado ni mchezaji mzuri na Simba kamwe hawakukosea kuwa nae wanatakiwa kuwa wastaamilivu ili waje kufaidi kula kilichoivankwa nafasi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii ni hasara tupu, gyan na nyoni wanatosha kuwa wasaidizi wa kapombe

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic