November 29, 2018





KUTOKA SINGIDA UNITED FC 

*GOOD NEWS *: Mchezaji wetu Habibu Haji Kyombo amefuzu vipimo vya Afya kwenye klabu kubwa barani Africa ya Mamelodi Sundowns.


@habibukyombo10 alifanya vipimo hivyo jana majira ya saa 7:00 mchana pale Southa Africa mitaa ya Dunlop Road,132 Chloorkop Makao makuu ya @sundownsfc kwa saa za hapa Tanzania.

Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii, hatua kubwa kwa klabu yetu na kubwa kwa mpira wa Nchi yetu.


Kyombo amefungua Mlango, wengine wanafuata kupitia Singida United, kikubwa kujitambua na kuvumilia (Self determination)

1 COMMENTS:

  1. IBRAHIMU AJIB MIGOMBA,PENGINE UNA UWEZO MKUBWA KULIKO KIYOMBO LAKINI KUSIKIA HATA FUNUNU KWAMBA UNAENDA NJE KWENYE TRIAL,AMKA BRO

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic