November 27, 2018


Mtibwa Sugar, wanaibuka kifua mbele kwenye mchezo wao wa 1 kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda kwa bao 4-0 leo dhidi ya Northern Dynamo ya Shelisheli.

 Mtibwa wamefanikiwa kuutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani Chamazi na kuwafanya wachukue pointi 3.
Takwimu zinaonyesha kuwa Mtibwa Sugar walipiga mashuti mengi kwenye lango la N. Dynamo na kufanikiwa kumiliki mpira kwa asilimia kubwa kama ifuatavyo :-



Mashuti yaliyolenga lango:- Mtibwa Sugar 18- 3 N.Dynamo.

Mashuti nje ya lango :- Mtibwa Sugar 20- 5 N.Dynamo.

Kona :- Mtibwa Sugar 8- 1 N.Dynamo.

Faulo :- Mtibwa Sugar 10- 13 N.Dynamo.

Kuotea :- Mtibwa Sugar 3-0 N.Dynamo.

Umiliki wa Mpira:- Mtibwa Sugar 78- 22 N.Dynamo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic