November 23, 2018


Simba wamekubali sare ya kutofungana bao leo na Lipuli FC, iliyo chini ya Kocha Selemani Matola ambaye alikuwa mchezaji na nahodha wa zamani wa Simba.

Zifuatazo no twakimu za mchezo huo ambao umemalizika jioni ya leo na matokeo kuwa 0-0.

Kona :-Simba 7- 3 Lipuli   


Kuotea:- Simba 6-1  Lipuli


Nje ya lango :- Simba 12-4 Lipuli


Mashuti yaliyolenga lango :- Simba 8-6 Lipuli

Njano:- Simba 0- 3 Lipuli


Nyekundu: Simba 0-0 Lipuli


Umiliki wa Mpira:- Simba 71- 29 Lipuli

5 COMMENTS:

  1. Kwa uchezaji aliocheza Mkude leo wakati mwingine unawaza may be Amunike is right,mwisho wa siku unaona kuwa kama Taifa mpira bado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kichwa maji wa kihistoria kweli!

      Delete
  2. Pole sana maana c kwa kuumia huko baada ya timu yako kupata draw. Maana tunakujua ww ni simba na umekuwa ukitumika kuivuruga Yanga lkn kamwe hutofanikiwa

    ReplyDelete
  3. Lkn tukupe angalizo ww ni mwandishi kutumika kuharibu taswira ya timu nyingine cyo vizuri maana zako zinazoihusu Yanga ni za kubeza tu hakuna jema unalowaombea wananchi ww salehe ally

    ReplyDelete
  4. MIMI yanga damu,lkn kuhusu huyu jamaa kuonyesha mapenzi na kutumika,kwangu siamini.niliwi kusoma habari ya yanga,aliyoandika nikashawishika kukoment,kumsifu,pia nikawaza kati ya wenye blog huyu jamaa ana mizania ya haki.mimi bin zubery,edo kumwembe.naona wapo hovyo sana hasa kuhusu yanga lkn bado ni mtazamo wangu.tatizo waafrika tuna vipindi virefu vigumu.hata ktk maisha mengine.ukiacha michezo.leo hata ukiandika mwenyewe yanayohusu familia yako.kuna mengiaidha utayaruka ama ukiyaandika utajichukia mwenyewe.that is reality

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic