November 14, 2018

3 COMMENTS:

  1. Saleh wewe huna akili hata kidogo,YANGA HAJAFUNGWA na mbao,tena alifungwa na timu za kipumbavu zaidi ya NNE mbona husemi wababe wa yanga.baada yakuandika ukweli kuhusu mstakabali wenu na manji unaandika uongo eti manji aanza usajili yanga,acha kudanganya uma kijana mwenzangu umekua mjinga mpaka unapituka sasa,mtu wala hana time na yanga lakini gazeti lako linaandika habari kama vile umetumwa kuja kutuliza washabiki wasielewe kinachoendelea,kaa ukijua watanzania ni midirated educated,wana sense kwa kiasi fulani na wanajua kila kitu ila kwasababu media za kibongo ndivyo zilivyo tuendelee na movies,wewe ni muongo sana uliandika kwenye gazeti lako YONDANI asaini simba miaka miwili.sio siri unajiharibia sana yani umepunguza wateja kuliko unavyofikiria.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi Keya unamjua Salehe Ali ni mwanachama wa timu gani au unaandika tu

      Delete
    2. Hata kama kusoma sijui unataka kuniambia picha pia sielewi??Mr watu kama hawa sio wazuri hata kidogo,mshaurini akafanye mambo ya msingi na sio upumbavu anaoandika huyu bwana unaweka ushabiki wazi kabisa mbona wenzake akina bin zubeiry hawako hivyo?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic