November 28, 2018


Afya ya Ruge Mutahaba ikiwa bado sio nzuri huku akiendelea kupatiwa matibabu nchini Afrika Kusini, watu tofauti tofauti wamekeuwa na hisia za kukidhana kuhusu kutokuwepo kwa Ruge huku wengi wa wasanii wakikiri kuwa pengo lake limeonekana hasa katika Tamasha la Fiesta DAR.

Mbasha kupitia ukrusa wa instagram amefunguka ya moyoni uku akisema "kupitia usimamizi huu wa Ruge tulisaini mikataba mingi sana iliyokuwa ya faida. 

Hata katika ndoa yangu Ruge alipenda kunitia moyo na kuniambia mengi ya kutia moyo"


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic