Kikosi cha Yanga kimetoka sare jana katika mchezo wao wa kujipima nguvu wa kirafiki na Timu ya Reha FC ambapo makocha wa timu zote mbili walifunguka kila timu ikiangazia walichokifanya mpaka matokeo hayo.
Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila amekubaliana na matokeo yake na mwisho wa siku aahidi kujipanga upya katika mechi zijazo.
0 COMMENTS:
Post a Comment