November 4, 2018



Zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa Simba limekuwa likiendelea katika Ukumbi wa mwalimu Jiulis Nyerere jijini Dar es Salaam.

Wanachama mbalimbali, wamepiga kura wakiwemo Hassan Dalali, Zacharia Hans Poppe, Hassan Hassanoo, Crescentius Magori, Salim Abdallah maarufu kama Try Again na wengine wengi.



1 COMMENTS:

  1. Tuchague viongozi bora ili watupeleke pale tunapohitaji. Mpinzani wet katika mbio za ubingwa ni Azam Fc....kwani yuko vizuri na wamejizatiti mwaka huu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic