BREAKING: WAZIRI KAKUNDA ATANGAZWA MGENI RASMI, KESHO KUISHUHUDIA SIMBA IKIMALIZA KAZI VS NKANA
Na George Mganga
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji nchini, Joseph Kakunda, ametangazwa na uongozi wa klabu ya Simba kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nkana Red Devils ya Zambia.
Kakunda ambaye ni Mbunge kutoka mkoani Tabora, atahudhuria kwa mara ya kwanza kipute hicho kizito tangu ateuliwe kuwa Waziri miezi kadhaa iliyopita.
Sasa hapo breaking ni nn? Kwani ulitegemea gem itakuwa haina mgeni rasmi au
ReplyDelete