Sikuona ulazima wa Simba kushirikishwa kwenye mapinduzi cup wakati kuna timu kadhaa wa kadhaa wa kuziba nafasi yake ili kuwapa Simba utulivu zaidi wa kujiandaa na klabu bingwa Africa.
Mkipangwa mnalalamika na Msipopangwa pia mnalalamika,sijui wabongo mkoje... Kwani haya mashindano ya club bingwa africa mwaka huu ndio ya kwanza kufanyiak? Na nyie kama club hamna ratiba ya mwaka mzima kuonyesha lini mnatakiwa kujiandaa kwa mashindano eidha ya ndan au ya nje....
Sikuona ulazima wa Simba kushirikishwa kwenye mapinduzi cup wakati kuna timu kadhaa wa kadhaa wa kuziba nafasi yake ili kuwapa Simba utulivu zaidi wa kujiandaa na klabu bingwa Africa.
ReplyDeleteMkipangwa mnalalamika na Msipopangwa pia mnalalamika,sijui wabongo mkoje...
DeleteKwani haya mashindano ya club bingwa africa mwaka huu ndio ya kwanza kufanyiak?
Na nyie kama club hamna ratiba ya mwaka mzima kuonyesha lini mnatakiwa kujiandaa kwa mashindano eidha ya ndan au ya nje....
simba wanadai wana kikosi kipana wawapeleke watt wao bas
ReplyDelete