COMFIRMED: MUIGIZAJI MKUBWA CHINA KUTUA NCHINI! – VIDEO
Bodi ya Utalii Tanzania imetangaza ujio wa Muigizaji nguli kutoka nchini China, Saimon Yam, atakayekuja mapema mwakani akiambatana na watalii wengine kutoka nchini humo kwa ajili ya kutembelea maeneo mbalimbali ya utalii yaliyopo Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment