December 31, 2018


Na Haji S Manara

Wachezaji wetu wapendwa mtambue huu Umma unataka furaha tu, unawapenda na kuwathamini sana!

Nendeni kwenye shindano hili kuthibitisha ukubwa wenu na binafsi nna imani kubwa sana na nyie.

Dharau na kejeli za baadhi ya watu mzimalize uwanjani.

Kajengeni historia yenu ktk maisha ,tulikuwa wa kwanza na wa mwisho kuingia fainali ya CAF na sasa mnayo fursa ya kuifikia rekodi hiyo.

Mimi nitajitahidi kutimiza wajibu wangu wa kuhamasisha na kujuza umma wa watanzania na nyie katimizeni wajibu kwa kuweka rekodi nyingine .

1 COMMENTS:

  1. Kuwasisitiza wachezaji kujituma sawa ila tatizo la Simba ni beki. Pacha ya wawa na Erasto Nyoni ni mashaka matupu . Mohamed Husein ni mchezaji mzuri lakini sio beki mgumu kama Asante kwasi na kama kwasi yupo fiti kwanini anaendelea kukaa benchi. Binafsi ningependelea kumuona Mohamed akipata namba mbele ya kwasi lakini ameendelea kuwa mlaini katika kukaba na kufanya makosa mepesi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic